Popular

Categories

UEFA Cup | Chelsea vs Eintracht Frankfurt 1-1 (5-4) Highlights & Goals Resumen & Goles 2019 HD

Published on May 9, 2019 6,483 views

UEFA Cup Chelsea vs Eintracht Frankfurt 1-1 (5-4) Highlights & ALL Goals | 09052019

[Rais Magufuli leo katika habari leo wameangaziwa pamoja na Makonda na Pierre Liquid katika Azam TV wakikashifu masuala ya ngono.]

Tafadhali jiunge/ subscribe katika YouTube Channel yangu kwa kubofya hapa: https://www.youtube.com/user/msonobari/

Timu zote nne za misimu ya awali zilizowahi kutoka sare kwenye awamu ya kwanza ya nusu fainali Kombe la UEFA ugenini ziliweza kufuzu hadi fainali, huku timu ya majuzi zaidi kati ya hizi nne ikiwa Atlentico Madrid ilipocheza na Arsenal katika msimu uliopita. Kwa takwimu hiyo, Chelsea walijibwaga uwanjani mnamo siku ya Alhamisi usiku saa nne, saa za Afrika Mashariki wakitaka kuuendeleza mtindo na utaratibu huo.

Mechi kati ya Eintracht na Chelesea kwenye nusu fainali ya shindano la Kombe la UEFA ilichezewa kwenye uwanja wa nyumbani wa timu ya Chelsea uitwao Stamford Bridge ulio na uwezo wa kubeba mashabiki takribani elfu arubaini na ambao wamewahi kuweka rekodi ya kutoshea takribani watu elfu themanini. Nakupa fursa sasa uweze kufuatilia lineup ya wachezaji wa timu za Eintracht na Chelesea, habari za magoli, na takwimu za mechi kwenye kipindi cha kwanza huku nikikuandalia muhtasari kamili wa mechi yote. Kuwa macho kuufuatilia muhtasari huo papa hapa Mpasua Msonobari TV!

Baada ya kuitazama mechi hii ya kihistoria unadhani kwamba ni timu gani itakayolitwaa kombe hili la UEFA la mwaka wa 2019? Kuwa huru kutuambia hapo penye comments na kuuendeleza mjadala huu.

Kwa habari kemkem zilizohaririwa kwa ustadi na ufundi bila papara au payukapayuka hapa ndipo. Subscribe na ubofye alama ya kengele ili usipitwe na habari motomoto za michezo kama hizi!!

Mimi ni Mpasua Msonobari, nikiripotia Sasafrica Productions, Zanzibar Visiwani.

Usikose kujiunga yani kusubscribe katika Youtube channel yangu - @Msonobari.

Mpasua Msonobari is available on:
Swahili Wordpress: http://msonobari.wordpress.com

YouTube: https://www.youtube.com/user/msonobari/ Facebook: https://www.facebook.com/msonobari/
Instagram: https://www.instagram.com/mpasuamsono... Twitter: https://twitter.com/msonobari/

SoundCloud: https://soundcloud.com/msonobari

SoundBetter: https://soundbetter.com/profiles/1296...

For Bookings & Correspondence:
Call: +254 725 084 032
Email: msonobari@gmail.com

#EintrachtvsChelsea #CheleseavsEintrachtFrankfurt 1-1(4-3) #MpasuaMsonobari #HashtagMpasuaMsonobari #Tanzania #ChurchillShow #Chelsea #EintrachtFrankfurt #Highlights&Goals #Resumen&Goles2019HD #ChelseavEintrachtFrankfurt2018/19 #UEFAEuropaLeague #2019HD(FromStadium) #SKYSportsNews #CNN #Aljazeera #Magufuli, #Millardayo, #Ayotv, #Ngomma, #AzamTv, #ReginaldMengi #RIP #MpasuaMsonobari #Jacq, #Pierre, #Cag, #Dodoma, #AzamTv, #HabariLeo, #Itv, #TanashaDonna, #Swahili, #Tetema, #BreakingNews, #Bwakila, #FunnyVideos, #Ronaldo, #FtDiamondPlatnumz, #Simba #SC, #RailaOdinga, #UhuruKenyatta, #MarkiplierDespacito, #Youtube, #Facebook, #YangaSc, #Mubashara, #PierreLiquid, #OfficialVideo, #Mapenzi, #Jamiiforums, #Tamisemi, #Ajira, #Instagram, #Pornhub

Comments
 • Mpasua Msonobari
  Mpasua Msonobari 1 month ago Kwenye nusu fainali ya Kombe la UEFA/ Europa League, Chelsea ilifanikiwa hatimaye kufuzu kwa fainali ya shindano hili la Ligi ya Europa baada ya kucheza na Eintracht Frankfurt kwa dakika 120 bila kupata mshindi na kulazimika sasa kupimana nguvu kupitia kwa mikwaju ya penalti. Tazama hapa Highlights, Stats na Magoli: https://youtu.be/_uyaMroYpes. Kuwa huru kusubscribe na kubofya alama ya kengele/ notification ili usipitwe na makala yoyote: https://www.youtube.com/user/msonobari/subscribe
 • Mpasua Msonobari
  Mpasua Msonobari 1 month ago UEFA Cup | Chelsea vs Eintracht Frankfurt 1-1 (5-4) Highlights & Goals Resumen & Goles 2019 HD
 • Rehema Wanguba
  Rehema Wanguba 1 month ago Nice!! Thanks for this MpasuaMsonobari TV
 • Mpasua Msonobari
  Mpasua Msonobari 1 month ago Makala mazuri sana. Kwa habari nyingine. Kwenye nusu fainali ya Kombe la UEFA/ Europa League, Chelsea ilifanikiwa hatimaye kufuzu kwa fainali ya shindano hili la Ligi ya Europa baada ya kucheza na Eintracht Frankfurt kwa dakika 120 bila kupata mshindi na kulazimika sasa kupimana nguvu kupitia kwa mikwaju ya penalti. Tazama hapa Highlights, Stats na Magoli: https://youtu.be/_uyaMroYpes.